TAMASHA KUSHEREKEA MIAKA MITANO ( 5 YEARS )

Marahaba Swahili Music Festival tarehe 28 octoba 2017 tutaadhimisha miaka mitano ya tamasha hili tangu kuanzishwa kwake tarehe 26 octoba 2012 katika viwanja vya biafra kinondoni 

MSMF ni tamasha la kiswahili lenye lengo kubwa ya kuinua muziki wa kiswahili hapa nchi afrika mashariki na afrika kwa ujumla na duniani kote kwa huu tumejipanga kufanya kitu ambacho itakua ni historia katika jiji la dar es salaam 

Share this article

FaceBook FanBox

Our Radio Programmes

cache/resized/269256e07ff97894544b174ea79d24b6.jpg
11/05/2016
cache/resized/8bc83f8aa56ec473d34ddda5e053965c.jpg
11/05/2016
cache/resized/39b3a0ed29b8112396de936c7a6b9af0.jpg
11/05/2016

Contact us

Marahaba Swahili Music

Plot 499 Block 44 Kijitonyama Re

PO.BOX 32706 Dar es salaam Tanzania

Tel: +255712269452

Email: This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.